Madili ya Zari Yamkosesha Usingizi Ester Kiama

Madili ya Zari Yamkosesha Usingizi Ester Kiama
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Ester Kiama amesema kuwa, kila akimt azama Mwan amama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ a napolamba madili ya matangazo huwa anakosa usingizi kwa kujiuliza yeye anapataje na siyo Mbongo?
Ester aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, madili makubwa anayoyapata Zari yanatakiwa kuwafanya mastaa wa Bongo wajifunze na wajiulize maswali mengi ya kwa nini yeye tu na siyo wao!
“Kiukweli fursa anazopata Zari, kuna wakati mwingine zinanichanganya sana kwa sababu ninajiuliza mbona sisi hatuwezi?” alisema Ester.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Usimgeze tembo kunya utapasuka msamba

    ReplyDelete
  2. Nyinyi dada zetu wa kibongo mko kikanda zaidi au ngazi ya kimkoa zaidi maanake hata Rwanda hamtoki hamjafika kwenda kuishi maisha ya kutafuta too diference to Zarina Hassan yupo ki-International zaid ona hata yy ni mganda kajichanganya damu na mbongo,i mean amekaa uswazi tandale sana na sasa ame base kwa madiba ndani ya mjengo anao umiliki nasio kulipa lipa kodi za kupangisha sijui upande ama apartment...msijifananishe naye kabisa ile level ya akina Lady Gaga,Beyonce,Rihanna nk..m so so sorry km ntawakwaza..

    ReplyDelete
  3. Waambie mdau bado wana matongotongo machoni

    ReplyDelete
  4. wala usikose usingizi charity begins at home nitakupa mfano mmoja mimi nchi ambayo naishi priority kwanza ni kwa wananchi yaani kwa wewe ni mtanzania so kazi hayo madili unayozungumzia wewe shoukd be given kwa watanzania mzaliwa so they are giving zari just wampa umaarufu zaidi na yeye ndio mambo anayoyapenda na anawafsnyia mbwembwe wachani chuki na majungu umoja ni nguvu watanzania amkeni

    ReplyDelete
  5. true kuna warembo zaidi ya zari wema sepetu hamisa mobeto esma khan so many why not kwanza jenga kwako muna mpa umaarufu mganda halafu anawanyari belive anawacheka anawaona kama mijinga hii hata kusoma wengine hawajasoma so jipeni promo wenyewe

    ReplyDelete
  6. Tatizo warembo wetu mnajishusha sana utakuta mrembo mkali anatembea na bodaboda hata kama mwanaume mashine ukishakuwa model mahusiano yanakuongezea credit zari wanaume wake wote wamembeba hajishushi kamwe

    ReplyDelete
  7. Halafu hayo madili anayapata hapa bongo tu, huko kwao Uganda hana hata moja. Ile White party ya kwanza na ya pili ilifanikiwa kwa pesa ya mme wake wa zamani, jamaa huyo alipomkatalia kumlipia pati ya tatu ndipo akahamia na kumganda Diamond na ikafanakiwa sana vile Diamond alikuwa hajawahi kufika Uganda. Pati ya nne ilibuma, na alipoipeleka Kenya pia ikabuma. Mama huyu alifilisiwa duka la vito baada ya mme wake huyo wa zamani kuacha kumlipia pango; Diaomond naye alilipia mara moja tu. Zari ni opportunist mzuri sana na anajua kuwa kuwa Diamond ni opportunity kubwa hapa Bongo; nadhani hayo madili yote anayapata ni ya Diamond.

    ReplyDelete
  8. Madili kama haya yanapewa mtu jasiri anaye jiamini na mtu aliye na exposure nzuri ya maswala ya biashara, siasa na ufahamu mzuri wa mazingira yanayo mzunguka.
    Kwa kifupi Zari anajiamini zaidi ya madem wote wakibongo na akili yake ni sharp kama kisu changariba na hutumia mda wake mwingi kutafuta ufanisi wa kifedha wa kusapport maisha ya kifahari anayo ishi, tofauti kabisa ma mastaa wakike wakibongo.

    ReplyDelete
  9. wabongo tunajishusha wenyewe tukiwa na umoja tutafanikiwa tupeane credit wenyewe sio kuoneana wivu mastaa wetu ni wazuri hata kushinda zari, zari kwanza rangi ya miwili sio aliozaliwa anatumia ujanja ujanja tu kuhipodoa anatafuta wanaume wenye umaarufu wenye muelekeo anajua haoa nafanya nini nikikwamam hapa nafanya nini unadhani kama mwanamke mwingine angerudi kwa daimond lakini karudi kwa msalahibyake anajua nini anafanya sisi wabong laIma tujibadilishe isitoshe hao wanaompa madili ni wapumbavu hebu gomeni kwenda white party kuweni na umoja muone atakavo shuka watanzania amkeni its not too late kwani mukubali mganda awaingilie kwenu na kifua mbele

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad