Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana Kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume Mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa Sasa ajiandae kutoa million 20.
Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 baada ya kushinda shindano la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 lililo andaliwa na Global Publisher.
Mil 20 we umekuwa malaika
ReplyDeleteVery selfish egoistic stupid good for nothing woman don't you feel ashame to sell your body for money?
ReplyDeleteSanchoka na siyo muda mrefu utaitwa"KACHOKA"Kwa tamaa zako za pesa mtoto uliyekosa maadili bora kama mwanamke uolewe kwa kiasi hicho cha pesa kwa lipi jipya ulilokuwa nalo ambalo wanawake wengine hawana?
ReplyDeleteWell... most of our ladies have nothing to offer in a relationship other than sex and bodily lust and that`s why they are all financial predators and their marriages don`t last as they have nothing of value to add to their relationships.
ReplyDeleteHuyu nae asituletee mambo ya kale,au Zama za kale. Mwanamke auzwi siku hizi ni makubaliano kwanza, hayo mambo ya pesa mkishakubaliana, alafu Wewe Sasa unajiuza au unajinadi mwenyewe kwa pesa. Kabal hata ujapata wa kukubaliana, Soko litapita baada ya kuwa sanchoka. Nimechoka kabisa na soko hakunaaaa!!!!
ReplyDelete