Man City yaiadhibu Stoke City 7-2

Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili 17 na 55 katika ushindi wa 7-2 dhidi ya Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Raheem Sterling dakika ya 19, David Silva dakika ya 27, Fernandinho dakika ya 60, Leroy Sane dakika ya 62 na Bernardo Silva dakika ya 79, wakati ya Stoke City yamefungwa na Mame Diouf dakika ya 44 na Kyle Walker aliyejifunga dakika ya 47.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad