Mimi Mirs Alittolea Nje Beef la Vera Sidika na Hamisa Mobetto

Mimi Mirs Aliepuka Beef la Vera Sidika na Hamisa Mobetto
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Mimi Mirs amekataa katu kuzungumzia kile kinachoendelea kati ya Vera Sidika na Hamisa Mobetto.

Muimbaji huyo ambaye bado anafanya vizuri na ngoma yake ‘Dedee’, alipoulizwa na kipindi cha Clouds E kuhusu beef ya video vixen hao alijibu;.

“Tangia nimeacha kufuatilia haya mambo siyo kivile kwa hiyo sina comment kuhusiana na hawa watu, siwezi kusema chochote kila mtu anatafuta kwa jinsi yake, labda wao ndio jinsi wameona” amesema Mimi Mars.

Mimi Mars alikuwa mtangazaji wa kipindi cha Weekend Gossip ambacho kinaruka kupitia TV1 ambacho kilikuwa kinahusika na udaku wa mastaa mbalimbali.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad