Msanii wa Bongo Flava, Ruby amefunguka kuhusu kufanya muziki aina ya taarab na rap

Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa anaweza kufanya aina za muziki ila taarab ipo katika nafasi nzuri kwake kutokana yeye ni muimbaji pia.

“Off course I can sing taarab, hip hop pia naweza nikafanya lakini kwa sasa siwezi kwa sababu sipo katika mood ya kurap ila taarab naweza kwa sababu sauti yangu ni ya kuiamba muda wote, kurap siyo my talent but I can sit down and rap” amesema Ruby.

Ruby hajawahi kufanya kolabo na msanii yeyote wa taarab ila ameweza kufanya kolabo na rapper Wakazi pale alipomshirikisha katika remix ya ngoma yake ‘Sijutii’.

Source:Bongo5

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad