Naombeni Ushauri, Boyfriend wangu ni Mchovu Sana Faragha



Habari zenu jamani,

Naandika haya nikisikitika sana nakosa namna ya kufanya. Nampenda sana na wala siwezi kumsaliti.

Anaweza akamaliza hata wiki ananiangalia tu, usiku ukifika navua tunalala hadi asubuhi na asifanye chochote hadi nimpapase nimlambe chuchu kifuani ndio kaamke hata hivyo atapiga kamoja tu halafu anageuka.

Jamani hali hii imenishinda kwakweli japo nampenda sana naombeni ushauri
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad