Peter Msigwa Aliamsha Dude Akusudia Kupeleka Hoja Bungeni ya Kumuondoa Ndugai

Peter Msigwa Aliamsha Dude Akusudia Kupeleka Hoja Bungeni ya Kumuondoa Ndugai
Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mchungaji Peter Msigwa amefunguka na kusema kuwa katika Bunge ambalo linatarajiwa kuanza Novemba 7, 2017 anakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa Bunge, Job Ndugai

Spika wa Bunge Job Ndugai.
Msigwa amesema hayo leo kupitia moja ya mtandao wake wa kijamii na kusema kuwa kwa kuzingatia kanuni ya 137 ya kanuni za kudumu za Bunge atapeleka hoja yake hiyo ya kumuondoa Spika wa Bungue.
"Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndungai, kwa kuzingatia Kanuni ya 137 ya kanuni za kudumu za bunge ina complement ibara ya 84 (7) (d) ya Katiba" alisema Msigwa

Mbunge Peter Msigwa ni kati ya wabunge ambao wamekuwa wakilalamika kuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai amekuwa akiendesha bunge kwa shinikizo na upendeleo na kudai kuwa hastahili kuendelea kuongoza kiti hicho.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mfyuuuuu........mkiona nchi imetulia, tunafurahia kazi za JPM kwenye madini, basi mtafanya juu-chini kututoa kwenye reli ili watu wasikilize upumbavu wenu......msonyoooooooooo, kwani ungepeleka huo upuuzi wako bungeni bila kututangazia tusiohusika isingenoga......hovyooooo, MMESHASHINDWA, BADO KULEGEA......

    ReplyDelete
  2. Wewe msigwa.. Uliomba nini kea mungu?
    Rudi kuhuburi injili na siyo siasa manake huiwezi na haikutaki.
    SiSa unataka JEMBE (JPJM) NA SIO KISEGULE. HEHE..HEEHE
    MAGULI KAWEKA MAJEMBE KILA MAHALI AKIMAA ISHA HAPA KAZI YU.
    WA LELEMA NA MSONDO NGOMA KULEEE
    TUNAWAJUENI NA WAPIGAKURA WAMESHANOGEWA NA UTENDAJI WA AWAMU YETU. HONGERA NDUGAI HAWAFURUKITI WATAIAHIA TWITA NA FWEZI BUKU.
    UDALU MSITULETEE HAWA VILAZA.
    BLOGI YETI NI MZURI BILA YA HAWA. Wliokos Dira na Mwwlekeo.
    Karibu tutawanunulia Madira.
    LABDA ITASAIDIA KUWARUDISHA KATIKA SIRA.
    KUMBUKA HAPA HALELEWI NA KUCHEKEWA MTU.
    RUDI KWENYE PAROKIA DOGO HUU MCHEZO SI W saizi yako.
    HAPA KAZI TU HAKUNA KUPAYUKA PAYIKA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad