Picha Nyingine za Wema Sepetu Akiwa na Bwana ake Bafuni zavuja

Mrembo mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’ ameendelea ‘ku-shine’, safari hii zimevuja picha mpya akiwa bafuni na mpenzi wake aitwaye Bakari Kila.

Chanzo makini kilinyetisha kuwa, licha ya Bakari kuwa nyuma ya nondo kwa msala wa madawa ya kulevya Mombasa, nchini Kenya, bado ana ubuyu wa picha mpya za Wema wakioneshana mahaba na mpenzi wake huyo wakiwa bafuni.


“Achana na skendo ya unga inayomtafuna bwana wa Wema, sahau kabisa kuhusu zile picha zilizovuja Wema akiwa na Bakari, mimi ninazo picha nyingine mpya wakiwa bafuni.

“Yani ni full mahaba, Wema anaonekana akiwa ametinga kanga moko (moja), amemkumbatia Bakari huku akimpiga busu motomoto,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:

“Kuna moja Wema anambusu Bakari shavuni lakini kuna nyingine anambusu mdomoni kabisa kama njiwa vile tena wakiwa kwenye hisia kali za kimalovee. Madam hana habari tena yeye inaonesha ndiye aliyekuwa anapiga picha.”

Bakari anatajwa kuwa na mkwanja mrefu kiasi cha kumtuliza Wema hadi akaacha ‘makeke’ ya mjini, kabla jamaa huyo hajataitiwa kwa madawa ya kulevya nchini Kenya.

Global Publishers

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio maana hapati uongizu Kwenye vyama wanamuona malaya

    ReplyDelete
  2. hata wewe Anony 12,56. ni malaya sana ila haujulikani kama Wema. si bora hiyo picha kavaa mtandio kuliko za zari za kujichokonoa na toy tena uchiii. mapaka mivuzi tumeiona.

    ReplyDelete
  3. cha ajabu ni nini kwani yuko uchi? mbona hamsemi za Dai na Zari wanazopiga wakiwa chooni. tutoleeni unafiki.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad