Pius Msekwa: Suala la kuongeza miaka 7 halikubaliki, Labda iwe Minne

Akizungumza na AZAM TV kwenye Taarifa ya Habari ya saa mbili usiku leo. Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania Pius Msekwa anasema itakuwa ngumu sana kwa Bunge au Chama cha Mapinduzi kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani zaidi ya miaka 5 kwa awamu kama walivyokubaliana toka zamani.Kasema hata wao Enzi zao walishajadiliana kuhusu hili na waliiona tatizo litakuwa pale Nchi ikipata Rais mbaya kwani miaka zaidi ya 5 kwa awamu italeta shida sana katika Nchi. kwahiyo akashauri utaratibu wa miaka 5 angependa uendelee.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sura zitawakakamaa Mwaka huu na kijasho kitawatoka, No corrupition kwa baba Magu, Manake mapovu shuti yanawatoka, mlizoea corrupiton, kwenye kazi kuwekana ndugu au watoto wenu Sasa haukuingiliki huko bila Elimu ya kuleweka kila kona ujinga ujinga tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad