Rais Magufuli Ameondoka Dar Leo Kuelekea Mwanza Kwa Ziara ya Siku Mbili

Rais Magufuli Ameondoka Dar Leo Kuelekea Mwanza Kwa Ziara ya Siku Mbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo ameondoka Dar es salaam kuelekea Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.

Rais wa Jamhiuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa ma Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda na kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa na maafisa wengine wakati akiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Oktoba 30, 2017 kuelekea Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hukufikiri kabla, mateso ya watanzania utayalipa vipi. Au mnaogopa kuling'oa kanisa. Je huu si upendeleo. Harakaharaka walizozizungumzia kuhusu utawala wako. Zimelicost Taifa zaidi kuliko faida. Inaonekana kutokuwa na msimamo dhabiti. Hawa akina Makonda watotobwenu, wanaofanya kazi kwa kukuridhisha hawafai kuwa viongozi wa nchi hii. Ni watii vibaraka mnaowafuga, ndugu na ukabila ambso Nyerere aliukataa. Watafanya mambo bila kufikiri kwa kukuridhisha wewe badala ya kutafuta maslahi ya Watanzania. Ni aibu, kuona nguvu kubwa mnazozitumia na mbwembwe nyingi kama ni mapolisi wakulazimisha.hayaendani na nguvu ulizoingia nazo ulipochaguliwa. Hakuna consistency katika utawala huu. Ni kuparamiabpale na kule huku watanzania wakipoteza zaidi mali kwa wawekezaji kuanzia Ruvuma ambako hakuna hata anayewauliza wawekezaji wanachimba nini , kiadi gsni, kinatokaje, wanalipa nini. Nguvu zote zipo kwrnye makinikia na kila pembe zingine nchini ziko wazi.
    Utaalamu wakuyaangalia haya yote ni mdogo. Wakuu wa mikoa na wilaya wengi vilaza na mizigo tu.watanzania bado tunapoteza raslimali nyingi sana tatizo uongozi bora hatuna na haujajibalsnsi na kujikita kila kona ya nchi hii. Utawala wote upo kaskazini na nyanda za juu tu.kila mtu aje na ajenge kwake kwa kutimia pesa za walipakodi wote nchini. Huu ni ubadhilifu. Ndo maana tunakwamishwa kuipata katiba. Katiba haingeruhusu haya mambo. Katibavitawafunga wakuu wengi sana kwa namna hii.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad