Ronaldo Aipaisha Real Madrid, Yaipiga Getafe 2-1

Cristiano Ronaldo akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 85 ikiwalaza wenyeji Getafe 2-1 Uwanja wa Coliseum Alfonso Perez katika mchezo wa La Liga leo. Karim Benzema alianza kuwafungia Real dakika ya 39, kabla ya Jorge Molina kuwasawazishia wenyeji dakika ya 56.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad