Salamu Lugha ya Kiarabu Kwenye Facebook Zazua Hofu Israela

Salamu  Lugha ya Kiarabu Kwenye Facebook Zazua Hofu Israela
Polisi wa Israel walimkamata mwanamume mpalestina wiki iliyopiwa, baada ya kuchapisha salamu kwenye mtandao wa Facebook akisema "habari za asubuhi" kwa lugha ya kiarabu, lakini salamu hizo zikatafsiriwa visivyo kumaanisha "washambulie" kwa lugha ya kiyahudi.
Polisi walithibitisha kuwa mfanyakazi huyo alikamatwa kwa muda mfupi kwa kushukiwa kuchochea lakini akaachiliwa kabla ya makosa hayo kutambuliwa.
Chapisho hilo lilionyesha picha ya mfanyakazi huyo akisimama kando ya tinga tinga katika ukingo wa magharibi.

Marekani yajiondoa Unesco ikilalamikia ubaguzi dhidi ya Israel
Magari kama hayo yametumiwa kuwashgambulia waisraeli awli.
Hakuna afisa anayezungumza lugha ya kiarabu aliombwa ushauri kabla ya mtu huyo kukamatwa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad