Sheikh Kipozeo Ashindwa Kuvumilia..Amchana na Kumchambua Diamond Kama Karanga Kisa Kizima Hichi Hapa

Sheikh aonesha kutoridhishwa na mwenendo/style anaokwenda nao mwanamziki nguli nchini diamondplatnumz....asema life style yake kwa sasa haiendani kabisa na miongozo ya imani/dini yake ya kiislamu,ni bora ajitangaze tu kuwa yupo upande wa pili.

Ameeleza hayo kwa kurejea ngoma ya mwanamziki huyo inayobamba kwa sasa ya HALELLUJAH...ambapo pia ameelezea tabia yake ya kuvaa misalaba kama wanavyofanya ndugu zetu wa damu wakristu.

Naomba Allah amuongoe diamond kama alivyomuongoa Mzee Yussuf! Amin. Angalia video hapa chini:


Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hana wa kumuongoza maskini anasikitisha sana kasahau hata dini yake shekhe kipozeo amenena sawa sawa mtoto wakiuslamu kuvaa misalaba kulewa kuzini na mengi yako ila ajirekebishe na walio nyuma yake pia wajirekebishe kutoka wazazi hadi dada zake

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad