Shilawadu: Harmonize Aeleza Jinsi Alivyompata Mchumba wake Mzungu

Harmonize asema hiyo siku alimkuta akiwa na Bodguard zake wawili akiwemo mmoja yule mmasai anaesemekana kuwa ni mpenzi wake wa zamani. Walisalimiana na Kupeana namba na baadaye yule mzungu ambaye ni sarah alikuwa wa kwanza kumtafuta Harmonize. Wakachati wakatongozana sasa hivi wanategemea mtoto.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad