STAR wa Marekani Vera Vendetta Amzimikia Diamond Platnumz, Arusha Cheche Kwa Zari

STAR wa marekani Vera Vendetta atema cheche ‘nimekuchagua wewe Diamond my love’ arusha kijembe kwa Zari The Bosslady, boda aendelea kuonesha hisia zake mitandano ikiwemo instagram na snapchat

Fungua video kumjua Vera ni nani?
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. si mlimtukana Hamisa. kiko wapi... Domo kashafanya yake.

    ReplyDelete
  2. KARMA bi kizee unalo??? HAMISA MOBETO OYEEE i told hajakuwa mume wako ni wa kila mtu tafuta size tako

    ReplyDelete
  3. Bi masumbuko hana pa kwenda. atamngngania Domo hata iweje. na anajua vizuri kama Domo anatembea na mademu wengine, mbona kwa dillish aliufyata. atampata wapi mtoto wa 28 anaemsugua vizuri, na yeye kashakuwa kibibi.

    ReplyDelete
  4. hivo naseeb ana miaka 28 duh bi masumbuko kumbe unanyonya damu kaa huoni hata aibu naseeb si kama mwanao yule wa kwanza ndio maana you dont mind akichepuka nje unataka damu moto moto lakini hata hivo nilisika kigoma hatoki boi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad