Tunda Afunguka Kuhusu Kuficha Mimba yake

Tunda Afunguka Kuhusu Kusicha  Mimba yake
Muuza nyago wa Bongo,Tunda Sebastian ametoa sababu ya kudanganya kuwa hakuwa na ujauzito kwamba kuonesha tumbo la mimba ni kuwapa nafasi watu wabaya. Akizungumza na Star Mix, Tunda alisema kuwa, mara nyingi anawakatalia watu kama ni mjamzito kwa sababu anaona siyo vizuri kumtangazia kila mtu kuhusiana na hali hiyo.
“Nimeamua kuwa tofauti kidogo na watu wengine kwani siyo lazima mtu ajue upo kwenye hali hiyo, ujue watu wengine siyo wema, kwenye macho wanakuchekea kumbe moyoni wanaumia,” alisema Tunda.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad