Ule msemo wa nabii hakubaliki kwao! Umeweza kujidhihirisha kwa mfanyabiashara maarufu nchini Uganda, na mzazi mwenza wa msanii wa Bongo Fleva, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, ambaye juzi alitua Bongo akitokea South Afrika na kupokelewa kwa nderemo na vifijo na umati mkubwa wa watu, ambapo umati huo ukajitokeza tena jana katika ukumbi wa Mlimani City, alipotinga kwa ajili ya kuzindua kampuni ya DANUBE, hali hiyo ya kupokelewa mithili ya Mfalme, imemshtua Diva kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ Ambaye amempigia saluti Zari na kusema mastaa wa Bongo hawana budi kumpenda tu, kwani licha ya kuwa siyo Mbongo ila ana mashabiki wengi Bongo.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Lulu alipost picha ya Zari na kuambatanisha na maneno yanayoashiria kushangazwa na jinsi mwanamama huyo alivyopokelewa na Watanzania kama vile ni Mtanzania halisi.
Kama ilivyo kawaida ya mashabiki baada ya kuiona Post hiyo hawakumuacha salama Lulu, wakamporomoshea koment za kumchamba kuwa anajipendekeza kwa mtu ambaye hana shobo na mastaa wa Bongo.
nyie mbn mabwege hivi watu wamekuja kwa ajili ya nini question? kufunguliwa kwa Danube new branch uwepo wa masumbuko kwani ni mara ya kwanza wacheni kujishusha
ReplyDeleteanamnyoosha yeye hayawani asojijua. mfupi kama sigara.
ReplyDeletehuyu lulu nae alishatiwa na Domo, sema hajmpenda akaachwa fastaa! kama Lednjaa, ndo maana wanahaha kwa bi vuzi ili iweje. na Halima mapengo ndo alikuwa wa kwanza kumfunulia Dai nguo. shubaaaaamit
ReplyDeletehee makubwa bi masumbuko kawaroga lulu nawe wa kusema mie naona bora mwenzangu ukae kimya ufate yako maana ni vichekesho yaani umeji let down mwenyewe na ukawashusha hadhi vidudu mtu vingine vinavo piga kelele huyo bi masumbuko anajijua hakuna anamtaka labda apate mizee kama yeye mwenyewe so kaona afanye nini kasaka deal la danube na ndio njia itakayo mrudisha kwa bwege mwingine asijua wanawake yaani bi masaumbuko kajua kuwa teka akili zenu na huyo bi sandra nae jidai kigoma hatoki boi mie naona nibkama boi wa zari mara abebe handbag mara aende kwa magoti hee kazidi nini huyu bi masumbuko anawacheka masikini wee marimbukeni
ReplyDelete