Uwezo wa Msanii Rosa Ree Katika Staili ya Kufoka Foka Hip Hop Wawapoteza Marapa wa Kike Bongo

Msanii Rosa Ree Jana ametoa wimbo mpya unaitwa Dow, wimbo huo kwa sasa umekuwa gumzo huko mitandaoni na Radio stations mbali mbali kitu kinachoonyesha kuwa habahatishi na amedhamiria kulibeba hili Game la Hip hop Bongo kwa Upande wa Wanawake....Alianza kiutani utani na Dude la Onetime, Kisha Up in the Air kabla hatujakaa vizuri akashusha MchagaMchaga na Sasa Dow....
Hapo nyuma tulikuwa tunajivunia Marap wa Kike kama Chemical, Tammy The Baddest na wengine lakini baada tu ya ujio wa Rosa Ree ni kama vile nyota zao zimefifia ....

Kwa sasa Rosa Ree ndio msanii Pekee wa Hip Hop kwa upande wa Wanawake Anayeshiriki Tamasha la Fiesta

Kama Bado Hujadownload Wimbo wake mpya wa DOW basi Bofya HAPA
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad