Video: Jerry Muro aivaa CHADEMA ajibu tuhuma

Jerry Muro amejibu tuhuma zilizotolewa na mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema kwamba yeye ndiye aliyehusika katika kufungua taili ya gari na pia ni mmoja wa watu wanaoshabikia ndoa za jinsia moja.

Amesema hayo leo jijini Dar es salaam alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari huku akisema tuhuma hizo kwake hazima kwani yeye sio mwanasiasa hivyo asubiri aingie kwenye siasa alafu wapambane vizuri.
                                                TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hanithi tuu aende akawazibue choo kina Bashite na Lemutuz. ndo kazi yake.

    ReplyDelete
  2. Wamepigwa chezea Muro wee...wanajuta kumchokoza.

    ReplyDelete
  3. kiki com. sijui kashanyimwa kutia vidole le mutuz? au harufu imemshinda

    ReplyDelete
  4. Jerry. Wape vidonge vyao hawa Vilaza.
    Huyu Godiless tunamjua na anajijua... Na hakuwezi na anaelewa fika wewe si saizi yake.
    Amefika hapo alipofika KIFLUKU FLUKI sasa na yeye anajifikiria na kujidhania mwana sasa.
    Kwa jinsi ulivyo mjulisha kuwa wewe si mwasasa kwa hiyo malumbano na yeye na wenzake haito kuwa busara kuyaanzisha . Hii ni kweli lakini anashindwa kuelewa na Kujielewa Yeye amekuwa Baba Flashi
    na amesahau kama wachina wameshaingiza sokoni MAFLASHI MENGI na BIASHARA IMEDODA.
    Itabidi aanzishe exit Strategy ya Biasara yeye na Nassiri. Au waanze kuweka NJIA PAnda bishara yao.

    J.Muro wewe ni KIBOKO YAO. Homgera sana Jerry. HAWAKUWEZI HAWA VILAZA.

    ReplyDelete
  5. Jerry. Wape vidonge vyao hawa Vilaza.

Top Post Ad

Below Post Ad