VIDEO: Mwanafunzi Achomwa Kisu Shingoni Akigombea Mwanamke

Mwanafunzi wa shule ya sekondari Nzasa amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu shingoni kwa kisa kinachodaiwa kugombea mwanamke.

Mwanafunzi huyo Ashiri Musa ambae alikua anasoma kidato cha nne shule ya sekondari Nzasa alikutwa na tukio hilo jana majira ya usiku ambapo alichoma kisu shingoni na kupekea kuvuja damu nyingi ambazo zilipelekea kifo chake papohapo.

Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Temeke alithibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema mtuhumiwa wa tukio hilo anashikiliwa na jeshi la polisi kwa uchunguzi zaidi.

                                              TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad