“Kwanza ni furaha kubwa hatujawahi kufika pia imekuwa fursa kwetu kujifunza vitu vingi ambavyo tulikuwa hatuvijui kuhusu SportPesa na kubadilishana mawazo na wadhamini wetu.”Amesema Bocco
Jonh Bocco ameongeza “Naamini vitu vingi tulikuwa hatuvijui ambapo leo tumeweza kujifunza kama unania na umeelewa nini kilichosemwa unaweza kujua ni kwa namna gani unaweza kujiendeleza nje ya uwanja.”
“Wazamini wetu wa SportPesa tunawashukuru kwa kuweza kutupa kitu kizuri ambacho ni darasa zuri kwetu kwa maisha yetu ya baadae.”
Bocco amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Simba SC msimu huu baada ya kumalizana na timu aliyoichezea kwa misimu 10 mfululizo Azam FC.
Ni"WADHAMINI"Na sio"WAZAMANI"Msikiharibu kiswahili nyinyi washamba mnaudhi kweli kweli
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteNi"WADHAMINI"Na sio"WAZAMINI"Msikiharibu kiswahili nyinyi washamba mnaudhi kweli kweli
ReplyDelete