Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Taifa, Freeman Mbowe amedai kuwa anafahamu baadhi ya viongozi wa Chadema wapo hatarini na hata kufikia kuitwa viherere kwa kujiweka mbele kwenye tukio la Lissu
Mbowe amesema hayo leo wakati akizungumza na wanahabari akielezea maendeleo ya hali ya Lissu ya kiafya ambaye anatibiwa huko Jijini Nairobi baada ya shambulio la risasi zaidi 30 kwenye gari lake.
Mbowe amesema kuwa kamwe hawatathubutu kurudi nyuma katika suala la kumpigania Lissu wala kukiri umauti na badala yake wataendelea kupambana kwa maombi na mikakati.
"Kuna wengine tunaitwa viherehere. Hatutarudi nyuma wa kumuogopa yeyote.Tunajua kuna nini kinapangwa, hatutakiri umauti tutaukataa kwa nguvu zote. Hatuwezi kusema tupo tayari kufa maana ulimi ukikiri umauti ndivyo itakavyokuwa" Mbowe.
Katika upande mwingine Mbowe amewaahidi wananchi na Watanzania wote kwa ujumla kuwa kuanzia leo zitaonekana picha za Mh. Lissu akiwepo hospitalini ili kuthibitisha kauli yake ya kwamba kiongozi huyo ameimarika kiafya.
Viongozi wa Chadema Wapo Hatarini, Kuitwa Viherehere kwa Kushughurikia Tukio la Lissu- Mbowe
4
October 17, 2017
Tags
mbowe, mimi nashindwa kukuelewa the way you are politicising the mjeruhiwa LISU. Je una nia na lengo la kumwachia uenyekiti wa chama au kama zito miaka ile.
ReplyDeletethe way you accuse the gov in media is not rigjt and you do not jave that rightkama hina imani basi ni wewe katika mamiliomi kitu ambacho jakina mashiko ma unaweza kushitakiwa kwa upiuzi hiu wa uroppkaji.
mungu apishe mbali unatoka Hai umepata ajali barabbarani nani atakuwa wa kwanza kukuokoa? ni watanzania na serikali yetu. kwa hiyo chunga domo lako.
kama hujalipa TRA na kuwa na malimbikizp ya kodi jua kufanya hilo ni kosa na usijifamye mjanja mjanja wa misheni town. lukifamya una suala muhimu la kuzungumza la lisu
lisu ni mtamzania mmoja katika mamilioni. kilichomsibu unalijua na unaelewa mayatizo ya kupayuka.
Fipisha kuporojoka kama simu ya barabarani unadai upewaji wa pesa na nani kama si uzushi. na kwa minajili gani. na aliyekufateni no nani kwa lengo gani.
WACHA UPUUZI WA KITOTO UMESHAPITWA NA WAKATI.
NILIKUWA MAKUONA UNABUSARA KULIKO WENZAKO.. KUMBE NI WALE WALE NA YULE YILE WA ZAMA ZILE STOP IT.
vyombo vyetu vya usalama si tawi la chama chochote. vimatulinda na vinalinda usalama wetu usiku na mchana.
Mwenyezi mungu ndiyo muhifadhi wa yote.
kama huna imani basi ujijue kuwa uko katika upotofu.
Nchi yetu ni Salama na tuko Salama..
JITATHMINI NA MDOMO WAKO
Acha nikae kimya....
ReplyDeleteMbowe na Chadema kama mnajiandaa kuonesha picha za Lisu basi unosheni lakini tafadhali usiseme utazionesha kwa watanzania wote kwani watanzania waliowengi hawana haja ya kumuona huyo Msaliti. Kikubwa mnachokifanya ni kuingiza siasa katika suala la Lisu hakuna kingine cha maana. Kwani Chadema mliwahi angalau kuulizia takwimu za raia wasiokuwa na hatia wangapi walipoteza maisha yao kikatili kule kibiti? Na Tundu Lisu ni miongoni mwa waliokkuwa wakikejeli kwa madaha ya dharau kwa yaliokuwa yakitokea kule kibiti. Kwa hivyo toweni picha zenu lakini mfahamu yakwamba kuna watanzania wengi hawana haja ya kuziona hizo picha ni upuuzi mtupu wa kisiasa.
ReplyDeleteMBOWE ANA HUSIKA ASILIMIA �� KWA KUPIGWA RISASI LISU ANJUA KUWA LISU ANGE CHUKUA CHEO CHA UWENYEKITi JIULIZENI NYIE CHADEMA KWANINI WANAO POTEA KUFA AU KUUMIA NI WAlE WANAO ONYESHA NIA YA KUWA VIONGOZI WA JUU MBOWeE DICTATOR NAMBA MOJA NA UNA UA WENZIO
ReplyDelete