Wahujumu Uchumi Wafikishwa Mahakamani Kisutu

Wahujumu Uchumi Wafikishwa Mahakamani Kisutu
Upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mkurugenzi wa Tathmini, Archard Alphonce Kalugendo (49) na Mthamini wa Madini ya Almas wa Serikali, Edward Joseph Rweyemamu (50) umeileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, sehemu kubwa ya upelelezi umekamilika bado maeneo machache.

Wakili wa Serikali, Wankyo Simon amemueleza Hakimu Hakimu Mwandamizi, Godfrey Mwambapa kuwa kesi hiyo imeitishwa kwa ajili ya kutajwa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad