Watu Wafurika Kumuangalia Zari Mlimani City.

Mama watoto wa Mwanamuziki Diamondplutnamz, Zari. Mchana wa Leo alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City Jijini Dar es salaam ,alipokwenda kuzindua Duka jipya la samani, Danube.

Watu walijazana nje ya duka jipya la Danube wakitaka Kumuona Zari Huku wakiimba Wifi..... Wifi........ Wifi

Na baada ya Kutoka hapo waliongozana na Mzazi mwenzie Diamondplutnamz, kuelekea Visiwani Zanzibar kwenye show yake usiku wa Leo.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbona hawana furahaa? wanalazimisha kuonyesha watu wapo pamoja lakini kuna kitu am sure.

    ReplyDelete
  2. zari umekuwa paka unatapika halafu unarudi kuramba matapishi yako hee hee huwezi bi ajuza unadanganywa na mtoto wa juzi huyo si kama first born wako jamani hee hee munafurhisha kweli Hamusa mobeto kwa tia bao duuh ume panic kweli dah mama dee kakujambisha hadi umerudi kwa magoti kwa dai

    ReplyDelete
  3. bitch is dying fir fame who? wewe bi ajuza au ki spring chicken mimi nahisi huwa unajiambia mwenyewe hamisa hautaki u fame yeye tayari kutoka zaliwe she is fame kuna wewe ulali ndioi unyapo hee umeoitiwa na wakati eti nimekuja dar kwa kazi ya danube uje tu kuwa always huwa una mwenzako waku share penzi

    ReplyDelete
  4. ooh my God she looks so desperate she was just waiting for this chance to come akiambiwa ooh baby forgive aingie tena mzima mzima what a shame Zari really i feel so petty for you and ur children a specially those big boys ur putting ur kids kwenye hali mbaya aibu kwani mwanaume ni huyo tu kinaku mto leo hapa kesho kule he is the one whose looking for fame

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad