Zari Hassan Aanika Ukweli Wote Kuhusu Diamond Platnumz

Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarina Hassan maarufu kama Zari The Boss Lady amefunguka na kudai kuwa yeye na mpenzi wake huyo hawajaachana.

Akiongea katika U-Heard ya Clouds FM, Zari amedai kuwa hawajaachana kama inavyodaiwa  na watu hii ni kutokana na kuwa hakumu-wish happy birtday katika mitandao  ya kijamii kama ilivyozoeleka.

“Hakuna lolote baya linaloendelea kati yake na Diamond, na wanaheshima mikataba aliyonayo na kampuni pia hakuna chochote kibaya kinachoendele,” ameema mrembo huyo.

Pia akaongeza kuwa “Nilimu-wish siku yake ya kuzaliwa sema nilitumia njia ya kawaida,na tunajaribu kuhamisha maisha yetu katika mitandao kuwa ya kawaida.”

Vile vile mrembo huyo alisisitiza kuwa stori zinazoenezwa kuwa Nillan sio mtoto wa Diamond sio za kweli na kuhusu DNA pia sio kweli.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. muongo! anaona haya kusema wameachana couz alimchunia Dai akafikiri atabembelezwa mwaka mzima. sasa bwana nae kauchuna ndo anahaha. ila kuhusu mikataba bado wanaendelea.

    ReplyDelete
  2. huna hata haya kungangania mwanaume utasema super glue dai kama mtoto wake usikae ukidanganya watu pesa mbele ya safari ulifikiri ukika kujipaka mirangi hio na miwigi na kuvaa na huo mgorogo wako unavutia watu jirekebishe tabia

    ReplyDelete
  3. umeona unatokewa nje unataka kujirudisha dai ana bembea na mtoto mbichi katafute size yako waachie kina mobeto time ydo maskini wee bi kizee chezea wa TZ

    ReplyDelete
  4. Maneno yetu hapo juu yanaonyesha ni jinsi gani wivu unawamaliza.Poleni sana. ZARI NA DIAMOND NI KAZI NA DAWA. MLIE TU.ZARI UMEWAPIGA BAO BRAVO !!!

    ReplyDelete
  5. hapo umekosea hakuna mwenye wivu kwa nini tuwe na wivu mwanamke ni tabia sio uzuri wala kuwa na fedha kama bado kweli wanapendana tunawatakia heri

    ReplyDelete
  6. kwani sie watu tukiwa tuna wivu ndio iweje atutake sisi hapi hamna cha wivu wala chuki ni ukweli kuwa mwaname anakuthamini au ana mapenzi ya dhati kweli atavuka kwingine hadi analeta kitoto kingine pili mwanamke mwenye heshima hata mwanaume akidanganya huwezi kumshushua hadharani kwenye media tatu kwani dai kamuoa zari? au hamisa? wote ni wapenzi wake so hapakuja ya wivu hapo. sijui umeelewa eeh

    ReplyDelete
    Replies
    1. hayo maoni ya hao watatu juu kabisa yanamsimanga zari kwanini hata kama hajaolewa. yanaonekana maneno ya wivu tu roho zinawauma zari kuwa na diamond.ina maana wanaume wote wenye watoto nje hawana mapenzi na wake zao??????kwa hiyo diamond kuzaa na hamisa sio kwamba hana mapenzi na zari japo bado sio mkewe wa ndoa lakini ndio anamtambua kuwa mkewe. kakiri atamfuata hata kwa magoti south kumwomba msamaha. sioni la kumsimanga zari kapendwa jamani na diamond mtake msitake!!!!!Zari miye nakushauri waache wasema mchana usiku wanalala wee songa mbele usiwape nafasi ya kukuaribia. be strong!!!

      Delete
  7. mke ni mke wa ndoa dont talk nonesense kusema anamtambua kama mke wake no big no huyu anaitwa hawara kipande cha wivu hakiko hapo atambae kwa magoti hata kwa ulimi hayo ni yao wewe na mimi hayatuhusu au vp Zari

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad