Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo amefunguka na kusema kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi ya awamu ya tano imekopa dollar milioni 500 kutoka benki ya Uswiss na pesa hizo ndiyo zimetumika kulipa ndege za Tanzania.
Zitto Kabwe amesema hayo leo kupitia mitandao yake ya jamii na kusema kuwa riba za mkpo huo ni mkubwa sana na kudai watu wa chini wakiwepo wavuvi wa Migebuka kutoka Kigoma watahusika kulipa deni hilo kupitia kodi zao.
"Serikali ya CCM ya awamu ya Tano imekopa $500m kutoka Benki ya Credit Suisse ya Uswiss Kwa riba kubwa Sana. Sehemu ya fedha hizo zimetumika kulipia ndege ambazo Serikali inanunua. Wavuvi wa Migebuka Kigoma watahusika kulipa deni hilo kupitia kodi zao" alisema Zitto Kabwe
Rais Magufuli leo amesema kuwa uchumi wa nchi unazidi kukuwa na kudai serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina pesa za kutosha ndiyo maana imeweza kununua ndege mpya zaidi ya sita kwa mara moja na kudai watu ambao wanasema uchumi umeshuka wanaichonganisha serikali na wananchi.
Huyu nae veepe jamani?? Hana kazi za kufanya ama nene?? Kama huna kazi nenda Nairobee. Hahahah dogo, ni bora unyamaze tu, maana HATUKUSOMI kwa kifupi mbele ya JPM, HATUKUELEWI hata kidogo, we PIGA-KIMYA KAMA UNANYOLEWA.... tehetehe HAPA-KAZI-TU
ReplyDeleteMpumbavu ni lugha rahisi unayoweza kitumia kwa huyu jamaa. Mtu aliejaa viherehere vya hovyo. Nani asiekopa hata Marekani anakopa na adaiwa na China kiasi kikubwa tu cha fedha. Kama kweli anavyosema Zito Kabwe kuwa serikali ya CCM imekopeshwa dollar million $500m kutoka kwa serikali ya Uswiss ni jambo la kujivunia sana kwa watanzania kwani nchi kama Tanzania kufikia kiwango cha kuaminiwa kukopeshwa na nchi yenye serikali makini na tajiri duniani wenye kuijua pesa hasa kuliko nchi nyingi Duniani kama Switzerland kwa kweli ni jambo la kusherekea sana ni ushindi mkubwa kwa maendeleo ya nchi yetu. Nchi yetu sasa inaheshima duniani kiasi kwamaba tunaaminika kukopeshwa kwa maana yakwamba tunao uwezo wa kulipa madeni na hii ni kutokana nakuwa na nchi yenye serikali makini. Wazungu hawakopeshi pesa zao kihovyo hovyo hasa kwa serikali za kiafrica. Ukiona wanachukua uamuzi wa kuikopesha nchi hasa ya kiafrica au duniani kiasi kikubwa cha pesa kama hicho basi ujue hiyo nchi haina serikali ya mchezo mchezo inakuwa wazungu wameshajiridhisha haswa kuwa pesa zao licha yakutaka zirudi lakini pia wanataka kuhakikisha pesa hizo zitatumika kwa malengo yaliyokusudiwa hasa katika kuboresha hali za maisha ya waafrica wanyonge. Kwani kwao wao wazungu mkopo wanauchukulia kama msaada kwa nchi wanayoikopesha . Kama ingelikuwa kwa serikali zilizopita ningekuwa na hofu juu ya serikali yetu kukopa na jinsi pesa hizo zingetumika kwa manufaa ya nchi kabla ya pesa hizo kuingia katika mifuko binafsi ya watu wachache. Lakini sina hofu ya mikopo inayoipata serikali ya Magufuli kwa asilimia 200% yakwamba itatumika kwa manufaa ya taifa letu na ndio maana hata mataifa ya nje yenye nguvu za kiuchumi wameshaliona hilo Tanzania ni kioo cha Africa au pengine duniani kupambana na ufisadi . Kwa hivyo watanzania tuwapuuze watu wanaojaribu kupotosha ukweli na kuapa kumpiga vita Maghuful na serikali yake ishindwe kuwaletea watanzania maendeleo na tuombe kwa M/Mungu awawezeshe wakuu wetu wa nchi kudumisha jitihada wanazozionesha katika kulikusukuma taifa katika maendeleo kwa uadilifu na mwendo wa kasi zaidi Amen. Nikirejea kwenye madai ya Zito Kabwe katika Suala hili nataka anisikie kwamba ni mpumbavu nakama ningetana nae uso kwa uso ningemueleza hivyo hivyo kuwa ni mpumbavu wa kiwango cha ajabu na hovyo na aache tabia yake ya kuwajaza upumbavu watanzania hasa vijana kwa kuwa mambo mengi anayojaribu kuyatolea ufafanuzi hana uweledi nayo zaidi ya ushabiki wa kisiasa uliomjaa. Haiwezekani mtu mmoja weye weye ujifanye kila jambo unajua wewe tu, Mchumi wewe, mwanasheria wewe, mtaalamu wa madini wewe, Mtaalamu wa masuala ya kinteljensia/usalama wewe, siasa wewe yaani mpaka anakera lakni si kingine isipokuwa ni kiherehere kama mtu anaewashwa nanihii fulani hivi na anahaha kutafuta mtu amkune. Nafikiri anafikiri katika fikra zake yeye ni mwanasiasa mkubwa na anajua kila kitu mi upuuzi mtupu. Kwanza kabisa mtu yeyote mwenye mawazo ya kufikiri anajua zaidi kuliko wengine basi ni ugonjwa wa akili tayari. Nabii Mussa wakati fulani watu wake walimuuliza kama anafikiri kuna mtu mwenye uweledi wa mambo zaidi yake yeye miongoni mwao? Mussa alijibu simple yakuwa hafikirii kuwepo mtu huyo . Ndipo M/Mungu alipo mpa Nabii Mussa mtihani mdogo wa safari iliyojaa visa iliyomkutanisha na mtu wa kawaida sana aliempa majibu mepesi Nabii Mussa kuwa hakuwa ni mtu mwenye uweledi wa kila kitu miongoni mwa watu wake licha ya kuwa yeye kuwa Mtume wa Mungu. Kwa hivyo haifai kujifanya unajua kila kitu wakati mwengine ni kero hata kwa Mungu. Kwani yeye pekee M/Mungu ndie mjuzi wa kila kitu.
ReplyDeleteMna Bowa wakina Zito huo wala sio Upinzani sasa ni chuki yani hakuna jema la Raisi alilolifanya mkalisifia kila siki kutafuta Makosa,,,,hata hao wanaokupigia Kura wa jimboni kwako wana jutia kura zao,,,,
ReplyDeleteZito ..zitto.
ReplyDeleteWe Dogo inaonesha unaradhi.
Na imekusibu vibaya.
Na umitaka kuhakikisha hilo basi angalia watu wenye Akili timamu wanavyo kukumbia mchana kwwupe.
Hata sikuile tulivyo kwambia tumealikwa.
Tulikuwa tunakupouootezea.
Manake hufai hata kwa NDURURU YA MAJI.
LA MAANA HUNA..!!!
SASA NAKUPA TAHADHARI Zitto.
UKINDELEA HIVI NA TABIA HII.
MKEO ATAKYKIMBIA
MIREMBE WATAKYCHUKUA ILI WAKUSAIDIE.
MWENYEKITI SIKU ZILE HAKUFANYA MAKOSA KUKUFURUMSHA CHAMANI.
UKO FB UNADANGANYWA NA UNAJIDANGANYA.
USIJE UKASEMA SIJAKWAMBIA.
TAHADHARI NDIYO HIYO
REMEMBER" A WISEMAN DOES'NT JNIW EVERYTHING. FOOLS DO"
I'm not sure wewe kabwela uko wapi???,,,,