Ajali Mbaya ya Basi na Gari Dogo Yaua Wawili......

Watu wawili wamefariki dunia wilayani Ikungi, Singida baada ya gari dogo kugongana na basi la abiria. Polisi wamesema kuna kila dalili kuwa dereva wa gari dogo alikuwa amelala.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad