Aliyenunua Nyumba za Lugumi Kwa Tsh. 1.9 Bilioni. Dk. Shika Agundulika Kuwa ni 'Tapeli'

Taarifa kutoka YONO zinasema mnada wa nyumba ya Lugumi iliyopo Upanga unarudiwa na kudai kuwa Dkt. Louis Shika aliyenunua nyumba hiyo na mbili zilizopo Mbweni ni ‘TAPELI’.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad