Beka Flavour Afunguka Chanzo cha Kuporomosha Mvua ya Matusi Kwenye Instagram Yake

 Beka Flavour Afunguka Chanzo cha Kuporomosha Mvua ya Matusi  Kwenye Instagram Yake
Msanii Beka Flavour ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Sikinai' amefunguka na kuomba radhi kwa Watanzania baada ya kushusha matusi kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya mtu mmoja kumkorofisha juu ya mpenzi wake.

Beka Flavour amesema kuwa yeye kama binadamu alipoona mtu huyo ameandika mambo ambayo hakupendezwa nayo kuhusu mpenzi wake huyo aliamua kumjibu na kwa kuwa alikuwa na hasiri alijikuta ameandika matusi pasipo yeye mwenyewe kutegemea.
Mtazame hapa akifunguka zaidi.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad