Bila Kuondoa CCM hakuna Kitakachobadilika - Sumaye

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amefunguka na kusema kuwa bila kukiondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani basi hali ngumu za maisha za wananchi kwa wananchi wa chini haziwezi kubadilika kamwe.

Sumaye aliyasema hayo jana akiwa katika uzinduzi wa kampeni za Udiwani katika Kata ya Kijichi jijini Dar es Salaam na kusema kuwa amezunguka nchi nzima na kuona jinsi watu ambavyo wanaishi katika mazingira magumu kutoka na hali ngumu ya maisha.

"Tusipoipiga CCM chini Watanzania tutaendelea kuteseka, hali ya maisha itaendelea kuwa ngumu mtapigwa maneno ya hapa na pale lakini ukweli ni kwamba bila kuwaondoa hawa watu madarakani hali za maisha ya Watanzania hazitakuja kubadilika hata siku moja, tutaendelea kupondea mitumba, miguu ya kuku na utumbo, mtaendelea kukondeana, mtaendelea kupauka na ukiona mtu amenenepa ni kwashakoo tu si afya kwa sababu maisha ni magumu" alisema Sumaye

Sumaye amedai ili Watanzania waepukane na maisha hayo ya hovyo ambayo sasa wanaishi wanapaswa kukipiga chini Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeshindwa kuboresha maisha ya Watanzania toka nchi imepata uhuru mpaka leo.
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu nae mnafiki mkubwa. Bila ya kuiondoa CCM ili arudi aje kuiba zaidi? CCM hakuna wa kuindoa ikiwa watu wenyewe wa kuindo ni kina sumai na Lowasa.

    ReplyDelete
  2. Huyu nae mnafiki mkubwa. Bila ya kuiondoa CCM ili arudi aje kuiba zaidi? CCM hakuna wa kuindoa ikiwa watu wenyewe wa kuindo ni kina sumai na Lowasa.

    ReplyDelete
  3. Scheni ujings wenu hspo juu, nendeni shule. Ksma huna la kusema fyata mdomo. Onfea hija. Si utumbo usii na elimu ndsni. Inaonyesha wazi shida kielimu. Hats namba ya kuandika dhida. Ccm ni pingamizi la maendeleo ya kweli.

    ReplyDelete
    Replies
    1. weee nani? alikudanganya eti chadena ndio sio pingamizi. Watu wenyewe si ndio hao hao. Ccm. kina Lowasa. Sumaye. wametoka ccm baada ya kuona upepo umegeuka. umewabana mafisadi. wezi wanadhilifu w mali na kodi za wananchi ndio hao wanatanga tanga na kiongea uwongo. Watawapata wale wajinga wajinga waliowagumu wa uwelewo wa mambo na alama za nyakati zinavyokwenda.

      Delete
  4. Watu wanataka maendeleo. Sio mabadiliko ya manene hizo ni proaganda. Mtu kama Sumaye ni bora anyamaze kabisa. Kwani watu wengi wanamjua alivyokuwa waziri wa hapo mwanzo za kale. alikuwa kwanza mmbadhilifi wa mali za umma. Tena ni wale wanaojijali wenyewe kushinda wananchi wao. Hawa ndio mafisadi wenyewe. Wanatumia kila propaganda wabadhani watarudi tena madarakani wakafanye uzabdiki wao. Mwacheni Magufuri aijebge nchi. Ambayo nyinyi iliwashinda kwa tamaaa zenu za rushwa. wizi. ufisadi. ubadhilifu wa kodi na mali za umma. Hata kupelekea nchi kukosa mwelekeo. Watanzania mpya inakuja. mumeshapitwa na wakati ninyi ni zsma za kale. Kwa hiyo tusrudishane tena zile zama za kale. Sasa kutibiwa hapa hapa Tanzania mtu kama wewe. sio mkono u auma ulay. watoto kusoma ulaya. kila kitu ulaya vihusuvyo vya kwenu lakini sio sasa za zama jizi baba. umeangukia pua weeee

    ReplyDelete
  5. hahahaha!Sumaye 'UMEISHIWA' ....!! Hayo maneno ungeyasema wakati 'ULEEE' ulipokuwa Waziri Mkuu, sio leo - yaani bado unautaka uwaziri mkuu ila kupitia chadema?? MTASUBIRI-SANA, CCM BADO IPO-IPO SANA.....HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  6. Huyu naee!!!! Amekuwa mtambi sasa. unajiendesha wenyewe bila kujielewa. Baba Watanzania wanakujua vizuri sanaaa hunnna jipyaaa tupishe sie kuleee

    ReplyDelete
  7. Mtambo Mtambo. Ni nini ni huyu sumaye. kiingozi walio haribu nchi hii mpakaa kuelekea kubaya zaidi. katika sura ya naea jili la Africa. anataka nini? tena huyu mtambo. apeleke zake huko na akili zakw ndogo za mtambo. 1Q ndogo kabisa. hopeless stupid Viongozi uchwala kama hawa waliopita. wanadhani uongozi ni maneno kwa mwamvuli wa maneni ya ujinga ujinga na kudai ni siasa stupid. Leders hamna mtu anaependa kuona ujinga huu unajirudia tena. labda uwe nawe ni mmja wapi wa wale wajinga

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad