BREAKING: Watu Wanne Wafariki Dunia katika Ajali ya Gari

Magari mawili yamegongana uso kwa uso katika barabara ya Morogoro Iringa maeneo ya Sangasanga na kusababisha vifo vya watu 4 na wengine majeruhi.

Kamanda wa Zimamoto wa Mkoa wa Morogoro amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na zoezi la kuwanasua majeruhi linaendelea
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad