Ukiacha tukio la Moshi leo hii,hata alipokuwa Arusha kwenye kampeni za udiwani hali ilikuwa ni hiyo hiyo.
Mzee hapa katumia fursa hii kuwashukuru wananchi kwa kumpigia kura na pia kuwaeleza kuwa hakuta kwenda Ikulu kwa kumwaga damu akimanisha katika kupigani haki yake baada ya uchaguzi na kwamba fujo zingetokea angelaumiwa kwa kumwaga damu.
Msikilize kupitia hii video hapa chini: