Eti Unashangilia Ushindi! Huu ni uporaji- Msigwa

Eti Unashangilia Ushindi! Huu ni uporaji- Msigwa
Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa ametupa jiwe gizani kwa wapinzani wao wea kisiasa kwamba wamewashinda kwa hoja zote za kisiasa na wameshindwa kuzijibu hicyo anawashangaa kushangilia ushindi.

Msigwa amesema kwamba wapinzani  wao lazima watawashinda kama watatumia vyombo vya usalama na siyo kwa hoja na kwamba wao Chadema wakitoa hoja wao wamekuwa wakishindwa kuzijibu.
Msigwa kupitia ukurasa wake wa Twiter ameandika kwamba "Hatuna mafunzo ya kipolisi wala kijeshi! Mkitumia vyombo vya usalama lazima mtatushinda , lakini tumewashinda HOJA zote za kisiasa! Mmeshindwa kuzijibu! Eti unashangilia Ushindi! Huu ni uporaji" Msigwa
Chama cha upinzani CHADEMA kimekuwa kikilalamikia chama tawala kutumia vyombo vya dola katika kuwakandamiza.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. 2020 hiyooo! cjui mtafanyaje na viroba hakuna.

    ReplyDelete
  2. Msigwa... Nasikia Yule Dodo alikupigia simu kukupeni pole. Na chama chake pia nasikia wamepata patupu.
    CCM kiboko yenu.
    Nasikia Saccos yenu imeanza kukosa posho..!
    Msigwa mie nakushauri kama huto endelea na Neno la Bwana ni bora uende Dabaga (kiwandani kuna kazi)
    Manake Hapa ni Kazi tu.
    Vinginevyo uuzaji sera hauuwezi muulize Polepole wewe katika siasa huu ndio muhula wako wa mwisho
    Kama huamini fanya sala ya maombi utapata Jibu hilo .. tena haraka.
    Poleni sana kwa mshindo huu. Kunyayuka tena ni TABU.

    ReplyDelete
  3. Msigwa... Nasikia Yule Dogo alikupigia simu kukupeni pole. Na chama chake pia nasikia wameambulia patupu.

    CCM KIBOKO YENU.

    Nasikia Saccos yenu imeanza kukosa posho..!

    Msigwa mie nakushauri kama huto endelea na Neno la Bwana ni bora uende Dabaga (kiwandani kuna kazi)
    Manake Hapa ni Kazi tu.

    Vinginevyo uuzaji sera hauuwezi muulize Polepole wewe katika siasa huu ndio muhula wako wa mwisho
    Kama huamini fanya sala ya maombi utapata Jibu hilo .. tena haraka.

    Poleni sana kwa mshindo huu. Kunyayuka tena ni TABU.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad