Hamisa Mobetto Afungua Duka la Nguo na Urembo

Hamisa Leo amepost kwenye ukurasa wake wa IG kua amekua akifanya biashara na watu ya kuuza nguo kwa miaka minne japo sie tulikua tunamdhihaki hana kazi,kazi yake ni kudanga mjini

Kwa sasa ameamua kutumia jina lake mwenyewe ktk kufanya biashara na litaitwa mobetto boutique
Nampa hongera zake sana sana sana na tutamsapoti Mimi binafs mwanamke akijishughulisha namkubali haswaaa    na km naweza namsapoti.Ntaanza trh17 kwenda kuwatch move from first time after Kanumba's demise
Na nikijaaliwa ntaenda nnua ht gagulo au skin tight to show support kwake.
Na wale team roho mbaya mnakaribishwa pia kumuunga mkono kahamisa change 24yrs kilichoamua kujiongeza maana kejeli zenu,dharau zenu na dhihaka ndio zinamfanya abarikiwe

Karibuni dukani wapendwa
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kimya kingi kinamshindo! Mola akufungulie kila la kheri na akuepushe na wanafiki.

    ReplyDelete
  2. Du! bi masumbuko akiiona hii ya Hamisa na yeye atasema anaduka uk.

    ReplyDelete
  3. Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi maisha yako akupe afya ulee watt wako na mzazi wako

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad