Kwenye ukurasa wake wa instagram, Harmorapa ameandika ujumbe akisema kwamba hatokuja kukata tamaa juu ya ndoto yake ya kumng'oa 'Tz Sweetheart'Wema Sepetu na hatimaye kumuweka ndani kama mke wake.
“Naamini sana katika ndoto kua ipo siku ndoto unayoota itatimia na kuwa kweli, sina cha kusema zaidi ya kumpa hongera Dogo Janja, naamini ushupavu na kutovunjika moyo kumemfanya leo akawa mume wa mwanamke wa ndoto zake, nami sivunji imani naamini Wema Sepetu ipo siku atakua wangu, ugumu alioupata Janjaro umenipa matumaini, kikubwa ni kutulia na ndoto yangu na kulenga ipo siku itatimia... One day you will be mine Wema Sepetu”, ameandika Harmorapa.
Hamolapa Umetisha...!!!
ReplyDeleteNi bora umsitiri Wema...tena Itakuwa jambo la lheri kufanya hvyo.
Kama tulivyo husiwa...tafuta mshenga Na uende kuchimbia haraka Sana lupitia sheje mkuu.
Kwani wewe uko CUF AU TLP MANAKE WEMA ALIKUWAGA CCM.
Kwani ndoa inachama?
Hongera Jamapa kwa uamuzi WA kuufanyia kazi haraka.
Mungu akunaalie Na akujalieni watoto Wema wenye kumuogopa Na kumtii Mwenyezi munguAmin Amin Amin
Weeee Harmorapa Ulisha sema uwezi kuwa na vibibi. sasa yamekusibu yepitena? wataka vibibi. Huna lolote vibibi ni wale waliomzaa mama yako na baba yako. Mkome kuwaita au kuwainea wanawake wakiwazidi umri kidogo kuwaita vibibi. huku mwawatamani mtawapata lini?
ReplyDelete