Henry Kilewo" Kila Mmoja Sasa Acheze Uhuni Wake ili Uitwe Demokrasia,Tukiendelea Kulalamika Wananchi Watatuchoka"


Ameandika Hivi Kupitia Facebook:

"CCM uchaguzi Huu haijashinda,Kama ni Ushindi Halali hazizidi Kata 5,Hii ni Salaam kwetu Upinzani Kuacha Kulalamika Sasa nakujua Tunapambana Nauhuni wenye Kivuli Cha Demokrasia,Kila Mmoja Sasa Acheze Uhuni wake ili uitwe Demokrasia,Tukiendelea Kulalamika Wananchi watatuchoka..."
By Henry Kilewo
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kaka anza demokrasia kwenye nyumba yako kwanza.unamuiza sana dada joyce.
    Ila umeonesha uzarendo kwa hili wala sikupondi

    ReplyDelete
  2. Kilewo uliza mwenzio nasari alisema ninavifaa toka uingereza sehemu zote nitafunga vifaa.muulize atoe video hizo ndio tutaamini.yaani tumewachoka sana kila siku kulalamika tu no strategies.asiekubali kushindwa si mshindani.kaeni chini mjiongeze mnaglip flop maneno mara watu mnaowatuhumuafisadi mnawapokea mnafikiri wananchi wanafurahi.endeleeni kusema cvm imeshinda kwa mitutu na nguvu ya polisi wakato wananchi siku hizi wanajua je hiyo mitutu ilikuwa nchi nza mpaka mmeambulia 1 tena neck tonneck.nimgekuwa mimi ningefyata mdomo ka mwenyekiti wenu mboye.maana hii ni aibu ya karne.si mna mna kikosi cha brigedia kinafanya kazi gani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad