Hii Hapa List ya Wachezaji Wanaoongoza kwa Magoli Ligi Kuu

Hii Hapa List ya Wachezaji Wanaoongoza kwa Magoli Ligi Kuu
Ligi Kuu soka Tanzania Bara iliendelea tena wikiendi hii iliyopita, ikiwa ni mzungumko wa 10 kwa kushuhudiwa michezo saba ikipigwa katika viunga mbalimbali hapa nchini.

Katika michezo hiyo iliyoanza Novemba 18 mwaka huu wababe wa ligi Simba SC, Azam FC na Yanga SC zote zilifanikiwa kuchomoza na pointi tatu muhimu hali inayopelekea wachezaji wanao cheza katika klabu hizo kuongeza idadi ya mabao

Klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba mpaka sasa inaongoza ligi hiyo kwa kuwa na jumla ya pointi 22 ikifuatiwa na Azam FC wenye alama 22 ikiwa na tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa wakati Yanga SC baada ya ushindi wake wajana wa mabao matano dhidi ya Mbea City unaifanya kuwa na pointi 20 kwa kushika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi hiyo ya VPL.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad