Hiki Hapa Kikosi cha Maangamizi cha Yanga Dhidi ya Tanzania Prisons Leo

Hiki Hapa Kikosi cha Yanga Dhidi ya Tanzania Prisons Leo
Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga imetangaza kikosi chake kitakacho ikabili timu ya Tanzania Prisons hii leo katika dimba la Uhuru jijini Dar es salaam.

Yanga itaingia Uwanjani huku ikiwa na kumbukumbu ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao matano kwa bila dhidhi ya klabu ya Mbeya City katika mchezo uliyopita.

Jumla ya michezo mitano itapigwa hii leo katika viwanja mbalimbali hapa nchini wakati Singida United ikiwakaribisha Mbeya City, Mbao FC itawakaribisha Mwadui FC huku Kagera Sugar ikiikabili Stand United na Ruvu Shooting dhidi ya Majimaji FC.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad