Hudda Amtetea Mtoto wa Mugabe

Hudda Amtetea  Mtoto wa Mugabe
Kuna nini kati ya mtoto wa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zimbabwe, Chatunga Bellarmine Mugabe na Huddah Monroe.

Mrembo huyo wa Kenya ameandika ujumbe kupitia mtandao wa Snapchat, kumkingia kifua mtoto huyo ambaye anaonekana kuchukiwa na watu wengi kutokana na kauli yake aliyowahi kuitoa hivi karibuni kabla ya Rais Mugabe kutangaza kujiuzulu.

Huu ni ujumbe wa Huddah ambao ameandika kwenye mtandao huo.



Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad