Kikosi cha Simba Chaweka Kambi Sumbawanga

 Kikosicha Simba Chaweka Kambi Sumbawanga
Simba ambayo ilikuwa Katavi ambako ilicheza mechi ya kirafiki na kutoka sare ya 0-0, sasa imehamia mjini Sumbawanga na kuanzisha kambi.

Kambi ya Simba mjini Sumbawanga itaendelea hadi Jumamosi itakapocheza na Rukwa FC ikiwa ni mechi nyingine ya kirafiki.

Baada ya mechi hiyo, Simba itafunga safari kurejea Mbeya kufanya maandalizi yake ya mwisho dhidi ya Prisons ya Mbeya.


Simba itaanza kujifua leo alasiri kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, uwanja ambao utatumika katika mechi yao dhidi ya Rukwa FC.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad