LEMUTUZ Afurahia Alberto Msando Kuhamia CCM Afunguka Haya

LEMUTUZ Afurahia Alberto Msando Kuhamia CCM Afunguka Haya:
.
From @lemutuzsuperbrand_ - KARIBU JEMBE Mwanasheria Msomi na maarufu Duniani @albertomsando karibu sana CCM ....KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!.....karibu ufurahie matunda ya Uongozi Shupavu wa Rais Magufuli yaani "UONGOZI UNAOACHA ALAMA".....kuondoka kwa JEMBE HILI kunaacha Pengo kubwa sana maana huyu alikuwa ndiye NGOME HASA YA UPINZANI AT SOCIAL MEDIA ........KARIBU JEMBE HILOO @albertomsando ......HAHAHAHA KIDUMU CHAMA TAWALA! - le Mutuz
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. anajua kapata Mabasha wapya, watamshughulikia vizuri.

    ReplyDelete
  2. anawashwa washwa huyo. hana family kutwa kutwa kutafuta marijali wamshughulikie yeye na Bashite.

    ReplyDelete
  3. Chadema mkipigwa mnakimbilia kuokota mawe.Yaani Chadema ni Vilaza hasa. Matusi ya Nini? Fisadi Nyalandu alipotangaza kuihama CCM mlichonga mno kama vile aliehama ni mtu wa maana wakati kila mtanzania anajua yakuwa Nyalandu ni makapi ya CCM. Chama cha Chadema kinakufa hilo suala halina ubishi. Chama gani chenye itikadi ya ukanda? Chama gani chenye kuendesha siasa zake katika misingi ya chuki? Magufuli na serikali yake wanafanya kazi ambayo watanzania wengi walikuwa wakiililia kufanywa na serikali yao kwa miaka mingi. Sasa kitu gani kinachowapelekea Chadema na upinzani kumpiga vita Magufuli na serikali yake? Ni muendelezo wa siasa za chuki za Chadema ambazo hakika haziisadii Tanzania isipokuwa ni kuirejesha nyuma. Kwa kweli tunahitaji upinzani na chama cha kuikosoa serikali ya CCM lakini sio ukosoaji huu wa kipuuzi tunaoushuhudia kutoka Chadema na washirika wake. Yaani upinzani umegeuka kuwa wapingaji maendeleo. Nitashangaa sana kumuona mtanzania mwenye kujitambua na hasa kwa wale ambao wamejaaliwa kuwa na elimu na wanauwezo wa kulisaidia taifa kupiga hatua katika maendeleo wakibaki kule Chadema kufanya kazi ya kulisaliti taifa kutofikia mikakati yake ya kujinasua kutoka katika hali ya umasikini. Wakati wa kumka na kumuunga mkono magufuli kwa watanzania umefika aidha unampenda au humpendi Magufuli ni mtaji ambao watanzania wanatakiwa kuuchunga vyema kwani faida yake ni kubwa kwa taifa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad