Maombi na Sala Zacharuka Nyumbani Kwa Kina Lulu

Maombi na Sala Zacharuka Nyumbani Kwa Kina Lulu
Zikiwa zimesalia siku 12 tu kabla ya hukumu yake kusomwa kufuatia kesi yake ya kuua bila kukusudia inayomkabili, taarifa zinasema maombi na sala zimekua zikitikisa nyumbani kwa msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Mtu wa karibu wa msanii huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake, alilidokeza Risasi Mchanganyiko kuwa, baada ya kesi hiyo kufikia katika hatua ya hukumu, hivi sasa kila siku maombi yanafanyika asubuhi, mchana na jioni, kwani kwa hali ilivyo hivi sasa, kila kitu kimo mikononi mwa Mungu.

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Allah akufanyie wepedi yaishe hta hivo yaliotokea lulu na Mwenyezi Mungu ndio wanaojua jinsi ilivokuwa sidhani kama lulu aliua bila ya kukusudia labda presure ilikuwa juu akadondoka na kujipiga na floor na time imeshafika hio yotw ilikuwa sababu kwa alitakalo Moĺa ndilo liwalo so muachieni lulu hata mukimfunga kanumba harudì so msameheni tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad