Mastaa Walia na Utumwa Unaoendelea Nchini Libya

Mastaa Walia na Utumwa Unaoendelea Nchini Libya
Wakati kukiwa na taarifa za kurejea kwa biashara ya utumwa nchini Libya, wasanii mbali mbali wakubwa duniani wameonyesha kuumizwa na biashara hiyo.

Miongoni mwa wasanii hao ni pamoja na Chris Brown, T.I, Omotola, Peter wa kundi la P Square.

Kwa upande wa wasanii na watu maharufu wa kutoka bongo a,mbao wameonekana nkuguswa na utumwa unaosadikika kurudi uko libya ni pamoja  na Vanessa, Mdee Jay Dee, Aslay, Babu Tale, Eric Shigongo na wengine wengi ambapo wameambatanisha na maneno mbalimbaliu ambayo yanaonyesha kuguswa kwao ikiwemo kinachoendelea Libya si cha kufumbiwa macho.

 Hapa tumekuwekea kile walichokiandika kupitia kurasa wa zao za mtandao wa Instagram.





Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad