Mc Pilipili Afunguka Kuhusu Ndoa ya Dogo Janja na Joti

Mc Pilipili Afunguka Kuhusu Ndoa ya Dogo Janja na Joti
Mchekeshaji Mc Pilipili amefunguka mambo kadhaa kuhusu harusi ya Joti na Dogo Janja.

Mc Pilipili amesema Joti alitamani sana angekuwa mshereheshaji katika harusi yake lakini kwa bahati mbaya alikuwa ameshakuwa booking sehemu nyingine, hata hivyo si kitu ambacho kilimzuia kushiriki katika sherehe hiyo.

Pia amezungumzia iwapo angekuwa mshereheshaji katika harusi ya Dogo Janja na Irene Uwoya kwa kueleza kuna baadhi ya mambo asingeyaruhusu kwa mfano Bwana harusi kumbeba Bibi harusi.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad