Mdogo wa Ali Kiba Achomwa na Maneno ya Mama Ashura Aamua Kumjibu Hivi

Zabibu Kiba amjibu Mama Ashura na wote wanaokosoa show ya Alikiba Kwenye Fiesta Dar 2017 

Zabibu amepost picha ya kaka yake huyo na maneno hayo hapo chini

"Ukijua nini unafanya na nini unakitafuta hata dunia nzima ikupinge utazidi kusonga mbele, katika mafanikio ili kufika unapotaka kwenda si kila mbwa anayekubwekea unatakiwa kusimama na kuanza kupambana nae"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad