Meya wa Ubungo Boniface Jacob Aachiwa kwa Dhamana

Meya wa Ubungo Boniface Jacob Aachiwa kwa Dhamana
Meya wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob (Chadema) ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na polisi kwa takribani saa 15 tangu jana akidaiwa kutaka kupanga njama za vurugu baada ya matokeo ya udiwani wa Kata ya Saranga kutangazwa.
Meya Jacob alikuwa wakala katika majumuisho ya uchaguzi wa Kata ya Saranga hivyo alikuwa anahusika katika uchaguzi uliofanyika jana katika kata hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad