Taarifa kutoka Mahamakani Kisutu Dar es salaam leo November 20 2017 zinbasema kwamba Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), Peter Noni na Wakili maarufu wa kujitegemea Dr. Ringo Tenga wamefikishwa katika Mahakama hiyo ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.
Taarifa kamili kuhusu kinachoendelea kwenye kesi hiyo utazipata baadae hapahapa
Mkurugenzi Benki ya TIB na Wakili Ringo Wafikishwa Mahakamani
0
November 20, 2017
Tags