Mkurugenzi Benki ya TIB na Wakili Ringo Wafikishwa Mahakamani

Mkurugenzi Benki ya TIB na Wakili Ringo Wafikishwa Mahakamani
Taarifa kutoka Mahamakani Kisutu Dar es salaam leo November 20 2017 zinbasema  kwamba Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), Peter Noni na Wakili maarufu wa kujitegemea Dr. Ringo Tenga wamefikishwa katika Mahakama hiyo ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.

Taarifa kamili kuhusu kinachoendelea kwenye kesi hiyo utazipata baadae hapahapa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad