Ni Aibu Diamond Kukosa Milioni Tano ya Matunzo ya Mtoto...Aache Kuzaa tu

Msanii Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz, amedai mahakamani kuwa hana uwezo wa kumlipa Mwanamitindo Hamisa Mobeto, Sh milioni tano kama gharama za matunzo ya mtoto kwa mwezi.

Diamond amewasilisha majibu hayo katika Mahakama ya Watoto Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka baada ya Mobeto kumfungulia kesi ya madai katika Mahakama hiyo ya watoto akidai mambo mbalimbali ikiwamo matunzo ya mtoto.

Katika majibu yake Diamond amedai fedha hizo anazodai Hamisa kulipwa kwa mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto ni kubwa hawezi kuzimudu.

Mobeto katika maombi yake kupitia mawakili wake Abdullah Lyana na Walter Godluck wa Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys, anaiomba mahakama imwamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto kila mwezi, mtoto huyo wa kiume aliyezaa na msanii huyo na kumuomba msamaha kwa umma kwa kumsababishia madhara yaliyoishtua familia yake.

Baada ya kupokea majibu hayo mahakama iliahirisha kesi hiyo ya madai hadi Novemba 8, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa. Mobeto kupitia wakili wake walimpa notisi Diamond ya kutaka amwombe radhi na kupeleka matunzo ya mtoto ndani ya siku saba lakini notisi hiyo haikutekelezeka hivyo aliamua kulifikisha suala hilo mahakamani.

Eti Msanii mwenye hela nyingi mara ajiite Dangote, kumbe ni mbwembwe tu hana kitu.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana au hataki kutoa. Ww Kw akili zako zote jamaa hana uwezo wa kutoa hiyo hela. Hata ivyo ni nyingi. Hata Ukipig hesab ya matumizi ya juu kiasi gani.

    ReplyDelete
  2. Hamisa acha upumbavu wewe. Kama unafanyaga party zisizo na kichwa wala miguu utakosa hela ya kumtunza huyo mtoto wako wa bandia? Ushaambiwa hutakiwi. Na unaitwa shetani. Ulimganda domo ukajilengesha mpaka ukanasa mimba ukiamini unamkomoa kumbe imekula kwako. Milioni tanooo ukiiona utaijua? Hahaha biashara ya K imebuma. Muombe Mange Kimavi akuchangishie.Malaya wa mjini weee. Nyooo

    ReplyDelete
  3. badala ya kuandika ujinga na matusi toeni maoni ya kujenga na kusaidia. kiukweli 5,000,000/= ni nyingi sana kwa matumizi ya mtoto kwa mwezi, kwa mastaa sijui maana matumizi yenu ni makubwa, mnatataka kuishi kistaa. Kwa walala hoi kama sisi 1,000,000/= kwa familia nzima ni kubwa sana.

    ReplyDelete
  4. Dah mtoto amekuwa mtaji?

    ReplyDelete
  5. mnashangaa Hamisa kutaka milioni 5? really, hamuoni watoto wa us wamenunuliwa nyumba na kila kitu wanapewa ni zaidi ya million 5. ila mnajifanya hamuoni. mtoto wa staa lazima aishi kistaa. umaskini wenu mnaona million 5 nyiiingi. na Domo si anasema yeye ni mwanamuziki tajili africa nzima? sasa million 5 inamshinda kwa shahawa zake? AIBU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lazima tushangae. Hahaha. Kwa u star gani alionao huyo Hamisa muuza K mashuhuri hapa mjini?
      Anakaa nyumba ya kupanga na kula yake inategemea kauza K kwa nani. Usiwafananishe watoto wa USA na wa hapa bongo tena hasa yule mtoto wa bandia wa kicheche Hamisa. Akikua kidogo mama yake atamfundisha jinsi ya kudanga na maisha yataendelea. Hamisa alijihisi kaua tembo kwa ubua sasa imekula kwake. Big up domo. Sikupendagi lakini kwa hili nakuunga mkono. Huyo Hamisa kwa kipi hasa mpaka umlipe milioni tano? Akanye kuleeeeee

      Delete
  6. Isiwe tabu.
    Hamisa nitafute.
    NtAkulea wewe Na Mtoto.
    Tena huku ulaya sema Mtoto ntamchukua Na kumbadilisha jina Kimahakama kihalali.
    Siyo akijakuwa RUBANI ALETE LONGOLONGO KAMA BABU YAKE KWAKE.
    HISTORY REPEATS ITSELF.
    SASA HIVI WEWE UMO NAFASI YA MAMA DOMO NA MWANAO NDIYO YUKO NAFASI YA DOMO
    AND LIFE GOES ON.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Muite waego. Labda na wewe atakuzalia kama alivyowazalia Domo na Majay wa Lulu (jini mauti)

      Delete
  7. munashanga kitu gani wakati anajisifu sijui hand aliinunua kwa millioni .... na hayo birthday part anayoyafanya hamushangai mpaka mulivoamua kuzaa hujui mtoto anataka matunzo mbona mumekua vichekesho daimond sio wewe ulie kuwa unatukana kwenye mtandao unajisifu una hela una hili na kile leo 5 million imekushinda au unagopa bi masumbuko asinune hee utakoma majisifu mingi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad