Rais Magufuli Atoa Agizo kwa Mkuu wa Mikoa Kagera

Rais Magufuli Atoa Agizo kwa Mkuu wa Mikoa Kagera
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaagiza wakuu wa mikoa ya Kagera kuhakikisha mifugo yote inawekwa alama kwa mujibu wa sheria ili kurahisisha utambuzi wa mifugo inayoingizwa nchini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad